utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Sasa umefungua uzi mwngine wa nini? Si unge edit tu kwenye ule wa .mwanzoKufuatia kuharibika kwa pitch ya uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kwa kiasi kikubwa, mechi iliyokuwa izikutanishe Jkt Tanzania dhidi ya Yanga Afrika imeahirishwa..
Taarifa zaidi zitafata
Eti wameufungia Uwanja wa Uhuru halafu wamekuja kuruhusu huu. Ila hizi ndiyo athari za kuwa na taasisi za serikali kwenye mipira, kuna kuogopana