Wewe ni Mrundi shwaini kabisa.Ulimwengu unatuangusha watanzania wenzako..funga bana!
Wanashambuliana kwa zamu, yanga wametawala sana ila mwishoni hapa mazembe wamezidi kukosakosa.mkombe katavi wamemzidia nani
Nipo katika TV bossUpo uwanja wa Manungu au Taifa.
Nipe link.!Mi mbona naucheki kwa phone live
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , Thomas Ulimwengu, fanya mambooooWewe ni Mrundi shwaini kabisa.
asante mkombeWanashambuliana kwa zamu, yanga wametawala sana ila mwishoni hapa mazembe wamezidi kukosakosa.
Half Time sasa
Unauliza au???Mi mbona naucheki kwa phone live
Yanga wanashindaBahati yao yanga..mapumziko..
Nitakie mema basiNipe link.!
Hahahaah mlumendo oooh sorry chilumendo yanga wanashinda.
Mli uli mwee! Weni aluchinda ningo, Yanga au Mazembe?wee katavi wewakwi mkombe
Wanasubiri fungulia mbwanaona mashabiki walioshindwa kuingia uwanjani asubuhi wamegoma kuondoka. Bado wako nje ya uwanja.
Link pleaseMi mbona naucheki kwa phone live