Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Ilikuwa penalty refa kabeba tu, manji kafanya yake ulimwengu kaangushwa kwenye box
 
VIJANA WA KATUMBI WANAWATIMULIA VUMBI WANA JANGWANI. TATIZO MPIRA WETU INA NGUVU YA MANENO KULIKO VITENDO NA UTAALAMU
 
Tanzania bado kabisa kisoka tuendelee tu kubishana kuhusu bunge live
 
Chura naruka ruka chura!

Ha ha ha, Snuraaaaaaa!
 
Teh teh teh watanzania bwana wanavyosimulia utafikiri game Kali sana yanga lazima wapigwe tu. Na nzambe ekitoko [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wakuu taifa mambo sio mazuri kwa wazee wenye swimming pool pekee africa.ndugu zangu njooeni tutoe salamu za pole kwa watani....
Utaifa badae mchangani
 
Bora wangelipisha watu kiingilio wapige hela. Huu unyanyasaji haukubaliki kabisa. Mashabiki waingie bure halafu mfungwe.
 
Wa kimataifa ndembe ndembe chaliiiiiiiii in heeemeeed kivuuuyo diphthong tune and sound
 
mashabaki wa tomas ulimwengu tushike sehemu za niniii..hawa yanga wasisawazishe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…