Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Teh! Teh! Teh!Asanteni sana TP Mazembe kwa kutunyamazishia jiji na taifa kwa ujumla!!!
Mmh!!! Hahahahaaa mna visa nyie. Hata hamjionei huruma masikini, mko matopeni. Siye wa Kimataifa haswaaaa...No, Yanga leo karuka ruka kama Chura mwishoni kabisa kafungwa!
Kama Chura wa Snura aliruka ruka then akaingia gereza la TCRA!
tp mazembe 1 ila wa magazetini, tivinini, redioni 0Sikuwepo ndo naingia muda huu toka Sayari ya Mars. Nipen matokeo ya Yanga na TP Mazembe.
Pole mpwaNaipenda Yanga..... All the best
CAF inaidai Yanga sh. 530M kadirio la mapato ili ikate asilimia zakeUwezo wa kuingia hamna mmeingizwa bure, siye yetu yanatuendea. Kufungwa ni sehemu ya mchezo. Tuwaulize nyie paka wa matopeni. Sisi habari yetu ndio hiyo...
Haaa Asante Mpwa. MzimaPole mpwa
Wewe bwana hebu acha kwanza wa kimataifa waliofumuliwa kamoja kwa shiiida wapate kupumua japo kwa huu usiku wa leo wakijikanda kupoza maumivuCAF inaidai Yanga sh. 530M kadirio la mapato ili ikate asilimia zake
Hahahahahaaaa utulivu zero wewe. Mmefurahi wenyewe...😎Msibani hakuna kiingilio, manji alijua kabisa kuwa hawatoki hivyo kupunguza machungu kwa wanae akaona waingine bureeee!!!! Hahahaha
Yaani hawa jamaa tusingelala kabisa maana wangegeuka popo kuanzia Taifa mpaka Morogoro. Poleni watani zangu maana mmepigwa kamoja tu ka hamuAsanteni sana TP Mazembe kwa kutunyamazishia jiji na taifa kwa ujumla!!!
kwani hilo bao moja kapigwa Nani jioni hii ?Yanga anatoka jasho Simba anapata raha, Sasa nimejua kwa nini mwanamke kwenye sita sita hata mechi iwe Kali Kiasi gani lakini hatoki jasho.!
Mi nataka kusikia tambo za yule msemaji wao sijui wanamwita muru sijui mura ah watajua wenyewe.Yaani hawa jamaa tusingelala kabisa maana wangegeuka popo kuanzia Taifa mpaka Morogoro. Poleni watani zangu maana mmepigwa kamoja tu ka hamu
Bora wewe umemuuliza maana mi nikadhani timu yake haijacheza leo wakati ndo hao hao wamekubali kamoja japo kwa shidakwani hilo bao moja kapigwa Nani jioni hii ?
Atamtambia nani, maneno mengi kama kasuku lakini vitendo hakuna maana hawa raia wanaolilia kujenga uwanja bondeni kwenye mafuriko ambako NEMC wamekataza hawana seraMi nataka kusikia tambo za yule msemaji wao sijui wanamwita muru sijui mura ah watajua wenyewe.
Duu ama kweli leo mwali kapatikana, hivi huu wimbo ulikuepo au umeutunga leoleo kifree style baada ya matokeo.Hii inaitwa ringa tena...au unaimba " amerudi analia eeh..... Anatia huruma....mtanzania mwenzetu ametutoa kimasomaso