OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mabadiliko ya Ratiba ya Ligi Kuu kupisha mechi za AFRICAN FOOTBALL LEAGUE.
Hapa ilikuwa lazima mechi ya Ligi kuu isogezwe ni kama Birthday inapoangukia siku ya harusi, Birthday itasogezwa tu mbele harusi ipite.