Yaani Mhe.Rais awe na Mkutano halafu na wewe Mwenyekiti wa kitongoji, Mzee Mwakifulefule Atufigwege, na wewe uitishe kikao chako ndani ya kitongoji hicho hicho? Kwanza nani atahudhuria?
Hapa ndo mafuta na maji yanapojitenga. Simba iko level kubwa sana ukilinganisha na Utopwinyo.