Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Licha ya kwamba Yanga ikicheza halafu ifungwe huwa napata furaha.Azam sport hd 1 na mechi itakuwa live kuanzia saa 10
Kifupi yanga ikicheza afrika inafurahi
Azam 1HD confirmedHakuna channel itaonesha huo upuuzi wa mechi za mchangani. Yanga walivo na kiherehere mpaka saivi ungeshajua channel Gani wanaonesha.
Kutoka kupata furaha kupitia pira biriani la Mnyama lililoleta makombe yote msimbazi paka furaha kupatikana kupitia migogoro ya Yanga, kweli zama zimebadilikaLicha ya kwamba Yanga ikicheza halafu ifungwe huwa napata furaha.
Lakini...
Mi hata isipocheza ila nikisikia migogoro ya hizi kesi kesi za uongozi wenu kutotambulika kisheria, hiyo pia inatosha sana kunipa furaha.
Sema Mzee Magoma ujue ana hoja ya msingi. Inakuwaje wanachama watano tu ndio wawe wenye nguvu?
Na Dingi amasema Hersi alitakiwa kuwa raisi wa Dodoma Jiji maana huko ndio asili yake ilipo.
Kaja mjini juzi kisa tu kashikishwa vinoto kajikuta taita ameanza na kuwaengua wazee wenye Club yao, hata mimi sijapenda.
Azam wataonyeshaKesho tarehe 20 pale Afrika ya Kusini kutakuwa na mechi kati ya Yanga na Augusbrg ya Ujerumani.
Ningependa kujua mechi inachezwa saa ngap na kuonyeshwa chaneli gani?
Azam wanaonesha tafuta panadol upunguze maumivuHakuna channel itaonesha huo upuuzi wa mechi za mchangani. Yanga walivo na kiherehere mpaka saivi ungeshajua channel Gani wanaonesha.
ItaonyeshwaKesho tarehe 20 pale Afrika ya Kusini kutakuwa na mechi kati ya Yanga na Augusbrg ya Ujerumani.
Ningependa kujua mechi inachezwa saa ngap na kuonyeshwa chaneli gani?