Mechi za AFCON game ikimuhusisha mwarabu na mwafrica mweusi haya ndo yanaendelea kwenye vibanda umiza Tanzania

Mechi za AFCON game ikimuhusisha mwarabu na mwafrica mweusi haya ndo yanaendelea kwenye vibanda umiza Tanzania

Kijana LOGICS

Senior Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
140
Reaction score
536
Hizi mechi za AFCON hua naangaliaa kwenye vibanda umiza kwa sababu ya vibe la mashabiki.

Mechi ikimuhusisha mwarabu na MTU mweusi mwarabu ni anatukwana sana n'a MTU mweusi. Yani Maneno yavuka mipaka unakua ni uhasama

Utani n'a Maneno ya kishabiki yanawekwa pembeni then
mwarabu anatukwana mixer ubaguzi WA rangi.

Warabu nao uwanjani sio Haba wanapeleka moto wanawafunga midomo MTU mweusi.

Nilichogundua MTU mweusi anajua black are good white are bad
Black ananaamini jamii /race zenye maendeleo ndio Cha Cha umaskini WA watu weusi.

Hawa warabu wapo africa mataifa yao yanaendelea kwa Kasi unajua kwa Nini they mind their own business no uswahil no ukabila ni Kaz mwanzo mwisho.

Angalia taifa kama Algeria taifa lipo jangwani whatch how things are going there.
 
Kutazama kabumbu banda umiza ni fresh sana...
 
Trust me ukienda huko uarabuni waarabu nao wanabehave ivo ivo dhidi ya wachezaji weusi
 
Back
Top Bottom