Mechi za CAF za vilabu afrika Azam TV anapewa bure (FTA) je, kwanini wao wanarusha kwenye pay TV kama Azamsport hd1 na si channel za bure?

 
Mleta mada kwenye hii biashara ya media hua kuna agreement.

Huwezi tu ukawa na Tv ukaamua kurusha mechi. Ni lazima uombee kibali cha kurusha content hio kutoka kwa shirika.

Azam ana mlipa FFF pesa ya kurusha mechi kuendana na agreement aliopewa.

Kwenye hio ishu ya CAF pay TV walioomba na kushinda Bid naona ni supersport na Azam maana wenyewe ndo wanamfumi wa king'muzi
Ila kwa channel ya kawaida wakiomba kuonyesha wanapewa na wao agreement na matangazo watayapakua kutoka kwenye satelite kama Free to Air kama hao SABC

Ndo hapo ukute TBC hawakuomba au AZAM katoa pesa ndefu ili kufanya yeye ndo atoe matangazo hayo kwa TZ
 
Kwani makubaliano ya Azam na anayempa yakoje?

Anakatazwa kuuza au hakatazwi?

Hicho ndicho kitu muhimu.
Huwezi kupewa rights for free afu wewe urnde kuziuza. Motive za aliyekupa bure haziwezi zikabadilika kwako tu.

Vinginevyo isiwe kweli Azam wanapewa free, labda ni kwa gharama ndogo.
 
Huwezi kupewa rights for free afu wewe urnde kuziuza. Motive za aliyekupa bure haziwezi zikabadilika kwako tu.

Vinginevyo isiwe kweli Azam wanapewa free, labda ni kwa gharama ndogo.
Hapa umeweka mambo kinadharia zaidi, halafu kwa unavyofikiri wewe zaidi.

Nimekuambia weka mkataba hapa tuone mkataba unasemaje, hujaweka.

Mpaka sasa hatujui masharti aliyopewa Azam ni yapi.
 
Huyo mzee ni mtu wa monopolization sana kule bandarini amejimilikisha bandari na kwenye mpira hataki ushindani.
 
Hayo matangazo yamekufikia wewe bure?
Kwa kifupi tu ni kwamba hakuna kitu cha bure
 
Thread closed
 
Na litimu Lao ndiyo maana hallisongi mbele.
 
Siku nyingine Acha kutusema kwa Ubaya sisi matajiri tuna kundi kubwa la kutusemea na kututetea tena wala hatutumii nguvu wapambe na MachawA wanatosha kutujibia kila shambulizi dhidi yetu sawa bwana mdogo umewakera sana Machawa wetu wangekuwa wanakuona wangekupiga mawe shenzi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…