Oya kwasisi tunaoangalia mpira kwenye simu game za carabao tutaona wapi?
Mzee baba sio busara kabisa me nipo serious wewe unafanya masihalaSebureni
Mzee baba sio busara kabisa me nipo serious wewe unafanya masihala
Una tatizo kwenye ulimi au!Mzee baba sio busara kabisa me nipo serious wewe unafanya masihala
kwenuOya kwasisi tunaoangalia mpira kwenye simu game za carabao tutaona wapi?
Azam wanaonyesha zoteOya kwasisi tunaoangalia mpira kwenye simu game za carabao tutaona wapi?
EPL wanaonyesha?Tukiwambia nunueni kingamzi cha Azam mnasema startimes mara zuku ni bora kuliko Azam. Sasa wenzako tupo mubashara kabisa kuanzia carabao, laliga, Vodacom na Belgium mpaka Ndondo washenzi nyie.
Zctv au coconut .Oya kwasisi tunaoangalia mpira kwenye simu game za carabao tutaona wapi?