Angalia usipate ugonjwa wa moyo mkuu hah hahDah kidogo unipasue moyo kwa furaha!
hahah..ao jamaa,ni kwikwi bhaas.na watuache yanga tulalee[emoji3] [emoji3] [emoji3] hao madogo hua wanahamisha uwanja
Kachawi wewe!Mbao kazeni hivyohivyo
Sasa nyie mbona hamfungi.!Mbao kazeni hivyohivyo
Tunahitaji kuvuka hapa serengeti boys hawajawekeza hapa hadi kuwa pale na mpira ule dunia imekuwa wazi sana watu wanafanya uwekezaji kwenye mafunzo na Psychology kupata ushindi#nasikia tumetupia#Hata makocha wenyewe ni sehemu ya imani.
Hahah..wapumbav sana aoo..na wangeshuk daraj t mazima..Wao badala ya kuwekeza tangu mwanzo wa ligi wanakuja kuwekeza leo Golini
Tusipasuane mioyo hapa.Dk ya 75 Yanga amerudisha goli!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tusipasuane mioyo hapa.
doh awa mbeya city,timu ya jiji letu la kijani wanaenda kijijin uko kufungwa na maji2 ni upumbav sana,ase...Majimaji 1 - 1 Mbeya city