bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Tukiwa ukingoni mwa ligi mbalimbali huku wengine wakiwa wameshatangazwa mabingwa mfano pale Ujerumani na huku wengine wakisubiri baadhi ya michezo ili kutangaza Ubingwa wao kama pale Uingereza,Tanzania,Spain na pia Italia.
sio mbaya tukijikumbusha baadhi ya michezo ya ligi mbalimbali ya mwisho iliyotangaza Mshindi huku ikikuacha wewe mshabiki wa timu husika umepigwa na Butwaa.
Naanza na Mchezo wa Manchester city na QPR hii ilikua hatari tupu Aguero akifanya mambo yake huku wengine tukishajua Manchester united Bingwa Kun akatuacha tukitamalaki na Pia kwa Tanzania Kuna mchezo wa Yanga Vs Prison ya Oswald Moris Prison wakiifunga Yanga pale Sokoine na kuinyima Yanga Ubingwa.
Ukitukumbusha na wewe baadhi ya michezo sio mbaya.