Kwa nn usiingie kwenye mechi za Kimataifa za yanga?TUTAKAA UPANDE WA MASHABIKI WA TIMU NGENI NA JEZI ZETU ZA NJANO NA KIJANI. HATUTAKAA UPANDE WENU SIMBA... msitafute huruma. KUZOMEWA KUPO PALEPALE
Nani kakuchokoza madam Wanjiru? Hakuna sababu itakayohalalisha wewe kumpiga mwenzio zama hizi, ni ushamba tu unakusumbuaKwa hiyo mlikuwa mnachokoza mpate kipigo ili iwe pretext ya kuzuia mashabiki wa Yanga wasije kwenye match zenu za kimataifa sio?
Waacheni vyura fc jamani wana stress ujueHawa wenzetu wamekuwa na vurugu na kuzomea badala ya support ,wamekuwa washamba sana kwenye soka na kusababisha vurugu .
Mechi za simba za kimataifa hapa nyumbani watangaze kwamba huingii uwanjani ukivaa njano au kijani.
Na watangaze kabisa kabla ya kuuza tickets ili simba tushabikie timu yetu vizuri siyo vyura wanakuja wanaanza kushabikia wageni bila kuwa wazalendo
Hawa mbwa si wanajitoa ufahamu.... Waache waendelee kujichanganya waone tunavyowanyofoa koromeo hizo mbwa hawaKwanza unaanzaje kuvaa jezi ya timu nyengine mfano Simba halafu unaenda kukaa kwenye jukwaa la mashabiki wa Yanga wenye mechi yao kizembe zembe..... Kuna watu vipigo mnavitaka wenyewe.
Yanga hana jukwaa la mashabiki wala uwanja wake ..... Tengenezi uwanja wenu muweke limit watu wenye nguo nyekundu wasiwe wanaingia kwenye uwanja wenuKwanza unaanzaje kuvaa jezi ya timu nyengine mfano Simba halafu unaenda kukaa kwenye jukwaa la mashabiki wa Yanga wenye mechi yao kizembe zembe..... Kuna watu vipigo mnavitaka wenyewe.
Simba jengeni uwanja wenu, jezi tunavaa vizuri tu, tutaongezea za timu pinzani. Unajifanya kusahau mashabiki wa Simba kushabikia timu pinzani wakati Yanga akiwa na mechi za kimataifa?? Mjiandae kupambana na hali yenu, sema uzuri mmoja mnaweza kutolewa round ya kwanza kama msimu uliopita.Hawa wenzetu wamekuwa na vurugu na kuzomea badala ya support ,wamekuwa washamba sana kwenye soka na kusababisha vurugu .
Mechi za simba za kimataifa hapa nyumbani watangaze kwamba huingii uwanjani ukivaa njano au kijani.
Na watangaze kabisa kabla ya kuuza tickets ili simba tushabikie timu yetu vizuri siyo vyura wanakuja wanaanza kushabikia wageni bila kuwa wazalendo