Hivi nyie watu mmerogwa? Timu inacheza ya taifa na uwanja wa taifa halafu simba na yanga zina upande? Si mjenge viwanja vyenu ndio mchague upandeTUTAKAA UPANDE WA MASHABIKI WA TIMU NGENI NA JEZI ZETU ZA NJANO NA KIJANI. HATUTAKAA UPANDE WENU SIMBA... msitafute huruma. KUZOMEWA KUPO PALEPALE
Sawa hakuna mwenye jukwaa ila una uwezo wa kuepuka fujo ndogo ndogo for your betterment..... Unadhani Yanga wenye akili hawaji Taifa kutazama mechi za Simba ?Yanga hana jukwaa la mashabiki wala uwanja wake ..... Tengenezi uwanja wenu muweke limit watu wenye nguo nyekundu wasiwe wanaingia kwenye uwanja wenu
Hivi nyie watu mmerogwa? Timu inacheza ya taifa na uwanja wa taifa halafu simba na yanga zina upande? Si mjenge viwanja vyenu ndio mchague upande
Kwa hiyo comment nahisi na weww ni miongoni mwa vyura waliozungumziwa na luc EymaelMuanze nyie kwanza kuvumilia kutokwenda kwenye mechi za Yanga mkishaweza basi kila mmoja atakuja kwenye mechi zake.
Sio mseme hayo huku kuutwa kwenda kujazana kwenye mechi za Yanga tena na kejeli juu + maneno ya shombo.