lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Nadhani Simba hawako Serious, watu mna Mechi za maana kabisa hapa duniani, mnacheza mechi za VPL zilizojaa watu wenye roho mbaya wanatuombea mabaya kila siku, wanawapokea wapinzani wetu wa nje na kuwapa kila mbinu.
Leo Simba ina mechi muhimu kabisa mwezi mmoja tu baadae mnakuja kuwachezesha wote muhimu wa kikosi Cha kimataifa kabisa Wala hamuogopi maadui wetu wa ndani wanaweza kuwahujumu kwa faida ya wageni wao wanaobadilisha kila siku.
Mara leo As Vita, Mara kesho, El Mereik, Mara kwshokutwa Al Ahly.
Sasa watu Kama hao si wanaweza kuwaumiza watu wetu mahili kabisa?
Simba wana vikosi vingi bana na,wawe wanachezesha kikosi B.
Na siku wakikutana na wale Jamaa wachezeshe kikosi B, maana wale Jamaa sio watu.
mtani wako mpe maneno ya kuudhi.