Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili au La
Naomba kuwasilisha.