Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Leo nimekukataa baada ya kukukubali miaka yote Jf.Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .
Naomba kuwasilisha .
Ni aibu sana yaaniNimependa tu kuona Yanga haina kiwango bora zaidi ya ujanja ujanja wa GSM kwa baadhi ya wachezaji wa Mtibwa hasa fowadi aliyevaa kiatu chekundu na kihimbwa
Yule mume wako toka alivyowekwa rumande akili yako imekua ndogo sanaTukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki...
Unaumia ukiwa wapi?BwasheeeeeeTukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki...
Jikite kwenye jukwaa la michezo tu , ya siasa yaache kulekuleLiniu taacha uchawi!!?
Badala ya kuwaza kuwa utabaki mjane Mbowe akifungwa,unaiwaza Yanga!!
yupo sahihi sana na shihidi ni ManaraLiniu taacha uchawi!!?
Badala ya kuwaza kuwa utabaki mjane Mbowe akifungwa,unaiwaza Yanga!!
Mshamba achana nayeJikite kwenye jukwaa la michezo tu , ya siasa yaache kulekule
nilitarajia matusi , kwahiyo sishangai , hatuwezi kuacha uchafu utawale kwa kuogopa kutukanwaYule mu.me wako toka alivyowekwa rumande akili yako imekua ndogo sana
Sihitaji heshima ya kinafikiHuu uzi utakufanya udharaulike
Kashabikie kina mbowe tu, mpira hauchezwi chumbani.Sihitaji heshima ya kinafiki
Nilikuwa mtu wa kwanza kupinga udhamini wa GSM , na niliweka uzi wa kwanza kabisa kuhusu hilo hapa jf , nilitukanwa mno ! Lakini leo udhamini wa GSM uko wapi ? sijawahi kukurupukaKuna watu haitakiwi mjibiwe tu kulinda heshima zenu humu Jf.
Mama yuko nje Baba yuko nyumbani kutembeza mkong'oto kwa watotoNilikuwa mtu wa kwanza kupinga udhamini wa GSM , na niliweka uzi wa kwanza kabisa kuhusu hilo hapa jf , nilitukanwa mno ! Lakini leo udhamini wa GSM uko wapi ? sijawahi kukurupuka