Mechi za Yanga zichunguzwe, haiwezekani wanashinda mechi kirahisi namna hii

NAFIKIRI mtoa POSt mpaka Sasa ushagundua kua ulichoki post ni ujinga na hakiendan na ww YAAN ni 0.0 Sasa futa alf achaga kupost mpk pale utakapohitimu masomo ya namna ya kutumia Jf usiwe mtu wa zero Brain YAAN 0.0[emoji3581]
 
Haha kweli amepuyanga
 
Hoja hupingwa kwa hoja , matusi hayatasaidia kitu , zipo juhudi fulani zisizo rasmi za kupinga sisi wanasiasa kuandika kwenye majukwaa mengine , hilo halikubaliki , nipingeni kwa hoja , nilipohoji udhamini wa GSM , Kila mjinga alinishangaa , lakini mkataba ule uko wapi leo ?
 
Kumbe una chuki binafsi na GSM.. ! acha kuleta siasa kwenye mpira
Sina chuki nao hata chembe , lakini niliutilia shaka udhamini wao

Hata MO tulihoji udhamini wake kwa Simba
 
Huwa nakuheshimu lile gruop lako la siasa...uku utanifanya nikudharau sasa,umekosa hoja mzee[emoji23][emoji23]...thread gani hii umeleta uku sasa??.
Jibu hoja mjomba
 
Umeona ukweli kabisa magoli ya mchongo yote, haki yao if they paid for, kila mtu ashinde mechi zake
 
Tatizo ni kwamba hii mechi watu wa Simba mlikuwa na matokeo yenu mfukoni. Kivipi unahoji magoli mepesi wakati mpira wa miguu ni mchezo wa makosa?
Haha anataka kusema yale magoli aliyokosa Nkane alifanya makusudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…