Yehoshafati
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 298
- 596
Maumivu ya kichwa huanza polepoleTukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .
Naomba kuwasilisha .
Mkishinda simba aaaahh tawileeeeNi aibu sana yaani
Wamepoteana kutokana na timu wenye uwezo mkubwa kuliko wao, wanashukuru Mungu hawajala mkono, mpira wa papatu papatu huwa anacheza na Mikia wakikutanaWw Libeva nimeangalia mpira? Mtibwa hawajacheza mpira wa ushindani labda kwa kuwa maji hayakuwepo
Nawasubiri sana tena hadi naona kuchelewa ninahasira sana na vyuraWakati mwingine tumieni japo common sense kufanya hicho mnachoita eti analysis...
Hivi Yanga ambayo ilimtandika Kolo si ndo hii hii?
Hivi Yanga ambayo Kolo ilifanya sherehe kisa tu imetoa sare kwenye premier league si ndo hii?
Hivi Yanga ambayo imemtandika Azam isiyo na njaa kwenye Premier League si ndo hii hii?!
Sasa hivi mnatumia vigezo gani kutarajia Mtibwa iliyo hoi taabani iweze kuisumbua Yanga?
Yaani kwavile mlitandikwa na Mtibwa ndo mlitarajia wangefurukuta mbele ya Yanga?
Nawakumbusha tu kwamba, tunakutana tena kwenye nusu fainali ya Azam Federation!!
Jikite kwenye litimu lako libovu. Uchawi kwa wananchi achaJikite kwenye jukwaa la michezo tu , ya siasa yaache kulekule
Magoli ya michongo hayo subiri wakutane na michongomaTukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .
Naomba kuwasilisha .
Wachunguze na mechi ya Azam na Biashara haiwezekani Azam washindwe kizembe vileTukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .
Naomba kuwasilisha .
Sasa mkuu mbona hakuna hoja hapo zaidi ya tuhuma zisizo na ushahidi ambazo Kwa ilivyo unaonekana ni uzishi au propaganda chafu.Hoja hupingwa kwa hoja , matusi hayatasaidia kitu , zipo juhudi fulani zisizo rasmi za kupinga sisi wanasiasa kuandika kwenye majukwaa mengine , hilo halikubaliki , nipingeni kwa hoja , nilipohoji udhamini wa GSM , Kila mjinga alinishangaa , lakini mkataba ule uko wapi leo ?
Kwahiyo ile siku nyinyi mliuza mechi kwa mbeya city na kagera?? Mlizoea kuiba ndo maana mnaona yanga anaiba pia. Mpira vipindi vyote yanga kamiliki mpira sasa hoja yako kwamba mtibwa kacheza yeye mpira akafungwa unatoa wapi??Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .
Naomba kuwasilisha .
Umesahau simba vs Geita piaKama Marefa Wangetenda Haki Mechi Ya Simba Vs Tz Prisons, Simba Vs Mbeya Kwanza Na Yanga Vs Mbeya City Saiv Kuna Watu Wangekuwa Na Hali Mbaya Sana[emoji2217]
Mechi za Kimataifa zitaleta uhalisiaNAFIKIRI mtoa POSt mpaka Sasa ushagundua kua ulichoki post ni ujinga na hakiendan na ww YAAN ni 0.0 Sasa futa alf achaga kupost mpk pale utakapohitimu masomo ya namna ya kutumia Jf usiwe mtu wa zero Brain YAAN 0.0[emoji3581]
Wako wapi GSM na kwanini ?Sasa mkuu mbona hakuna hoja hapo zaidi ya tuhuma zisizo na ushahidi ambazo Kwa ilivyo unaonekana ni uzishi au propaganda chafu.
Mbona hata wao ngao ya jamii tuliwafunga kilaini tu,uchunguzi uanzie kwao.Ficha upumbavu wako, onyesha hekima na busara zako.