Mechi za Yanga zichunguzwe, haiwezekani wanashinda mechi kirahisi namna hii

Kuna kitu kinaendelea katika timu ya Yanga hawa lazima wananunua mechi haiwezekani. Angalia timu zinazocheza na Simba utadhani ni fainali.
Kumbe wale wachezaji wa Ruvu shooting walicheza na Simba kama fainali?
 
Nimependa tu kuona Yanga haina kiwango bora zaidi ya ujanja ujanja wa GSM kwa baadhi ya wachezaji wa Mtibwa hasa fowadi aliyevaa kiatu chekundu na kihimbwa
Mtateseka sana mwaka huu.
Tabia cha mtu Malaya,awe mwanamke au mwanaume,huwa anawaza kuwa anavyoishi yeye kimakaya Malaya na watu wote huishi hivyo

Akipita njiani akiona kuku au mbwa wanajamiiana anatamani angekuwa yeye.
Simba mmezoea kuhonga marefa na kununua mechi.
Sasa mnawaza na yanga wanashinda kwa mtindo huo

Goli mbili za Jana zinawatesa sana simba.
 
We jifurahishe tu manake kufurahi ndo sehemu ya soka lakini huwezi kuwa na mzuka wa kumsubiri Mwananchi wewe...
Kama Simba anaweza kupata goli away kwenye CAF, Chura ni nani wa kumzuia Simba asipate goli?
 
Kama Simba anaweza kupata goli away kwenye CAF, Chura ni nani wa kumzuia Simba asipate goli?
Away? Acha kuchekesha bhana...

Guys, itakuwa mnajidanganya sana kama mtapima matokeo ya Kolo kwa kupata sare ya ugenini dhidi USGN.

Nakukumbusha tu kwamba USGN ni timu kutoka Niger!! Hivi umeshawahi kuisikia Niger kwenye historia ya soka?

Take this from me! Watu washamsoma USGN kwamba ingawaje wapo chini sana kisoka lakini pale kwao wanajifanya kudindisha!!

Lakini kwa hatua muhimu kama hii, timu zikienda pale hazitacheka na nyani, and that said, ingawaje Jmosi USGN wanacheza nyumbani na Asec lakini bado atakula 3-1 kwenye uwanja wao!!

Pia atakula 3-2 na RSB Berkane!!

Kwahiyo amini usiamini, endapo mtashindwa kuingia Robo Fainali basi itatokana na mistake ya ile sare kwa sababu yule mlitakiwa kumtungua kwao kwa sababu wengine watamtungua!!
 
KOLO, unateseka ukiwa wapi?????hahahaha
 
Nilikuwa nakuona mtu mwenye akili nyingi sana kumbe saa nyingine unakuwa saa mbovu
 
Leo umenichosha kabisa thamani niliyokupa kumbe ilikuwa kazi bure hivi gsm anaweza kuhonga wachezaji wote wacheze vibaya.
 
Acha uboya wewe watu wanawekeza pesa yan yanga ipo kamili sana tuna kipa, mabeki, viungo na mstriker bora sana, ile ni ubora tu mbona nyie mmewagunga watu saba na wapo kwenye ligi hatujasema yan ni hiv kila mtu ashinde mechi zake, yan hakuna striker yyte Simba anayemfkia mayele ata afumbe macho uwanjani...tunachukua ubingwa bila kufungwa halaf tukiingia klabu bingwa msimu ujao tutawaonyesha watu wanavyoingia nusu fainali kirahisi.
 
Wamechelewa kwani Rushwa ilishatembea Kitambo sana na nakuacha na Swali umeshajiuliza ni kwanini Beki Muhimu wa Mtibwa Sugar FC Abdi Banda mpaka Saa 6 Mchana jana alikuwa Mzima ( Fiti ) ila baadae akajifanya Mgonjwa ghafla na kuomba asipangwe?

Na Yanga SC wote walikuwa Wakimhofia zaidi Yeye ( Abdi Banda ) kwakuwa walijua angekuwa Kikwazo cha Ushindi Kwao kwakuwa angemdhibiti vilivyo Mshambuliaji wao Tegemezi Fiston Kalala Mayele ambayo kwa sasa ndiyo Roho ya wana Yanga SC wote duniani na mbinguni.
 

Halafu mkiitwa mbumbumbu, mnakasirika! Na wakati mnastahili kabisa.

Kwa hiyo mlipo wafunga Ruvu Shooting 7 kwa 0, na wenyewe waliwauzia mechi! Au ni kwa sababu mna kiwango cha juu sana?
 
Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hiki? Unahoji kipumbavu sana, kama ishu ni Abdi Banda kuhusushwa na rushwa kisa tu kutopangwa je angeshindwa vipi kucheza chini ya kiwango kama angepangwa ili kuwafanya Yanga ishinde mpaka aamuliwe asipangewe? Mechi zote alizochezeahwa huyo Banda, Mtibwa hakupoteza?
 
Halafu mkiitwa mbumbumbu, mnakasirika! Na wakati mnastahili kabisa.

Kwa hiyo mlipo wafunga Ruvu Shooting 7 kwa 0, na wenyewe waliwauzia mechi! Au ni kwa sababu mna kiwango cha juu sana?
Jikite kwenye mada
 
Jikite kwenye mada

Yanga ikishinda, imenunua mechi/ imenunua wachezaji/ imenunua waamuzi! Ila simba ikishinda goli 7 bila, ni kiwango cha wachezaji! Si ndiyo hivyo?

Ni lini mtakubali ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…