Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Ikiwa imebaki miezi michache kipyenga cha uchaguzi kupulizwa viongozi pamoja na wanachama wa CCM mkoani Geita wamepewa angalizo kuepuka makundi yanayoweza kusababisha mpasuko na badala yake kusimama pamoja.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hayo yameelezwa na mbunge wa jimbo la Chato na waziri wa zamani wa nishati, Medard Kalemani