Baba tulia yameshatimia sasa huwezi jua kakosea wapi, hebu uliza anayesambaza nguzo za mradi wa REA Nchi nzima ni nani ukimjua njo hapa jukwaani tuendelee kujadiliKalemani akiwa Waziri wa nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...
Ukisha maliza kuota amka bado mchana..Bashungwa for presidency 2030
Sihitaji kumjua ,ninachohitaji ni kuona umeme unawafikia wananchi wote mjini na vijijini kwa bei nafuu, pia serikali ikitumia gharama nafuu,overBaba tulia yameshatimia sasa huwezi jua kakosea wapi, hebu uliza anayesambaza nguzo za mradi wa REA Nchi nzima ni nani ukimjua njo hapa jukwaani tuendelee kujadili
Acha ndoto za mchanaBashungwa for presidency 2030
Nimekunyer.UMEPANIKI ?
Baba tulia yameshatimia sasa huwezi jua kakosea wapi, hebu uliza anayesambaza nguzo za mradi wa REA Nchi nzima ni nani ukimjua njo hapa jukwaani tuendelee kujadili
Hizi teuzi mpya zilizofanywa na Hagaya (ambapo Januari naye yumo ndani) zimedhihirisha rangi yake halisiKalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...