Plato JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 420 Reaction score 94 Sep 12, 2010 #1 Media mnamdanganya nani kumwita kikwete dr. Si ni nyinyi mlishabikia sana phd feki? Sasa mnapoandika dr kikwete mnataka tu naye aonekane yumo? Halafu mnatia kinyaa nyie
Media mnamdanganya nani kumwita kikwete dr. Si ni nyinyi mlishabikia sana phd feki? Sasa mnapoandika dr kikwete mnataka tu naye aonekane yumo? Halafu mnatia kinyaa nyie
D Dopas JF-Expert Member Joined Aug 14, 2010 Posts 1,151 Reaction score 392 Sep 12, 2010 #2 Nakuumga mkono. Hao media si njaa tu inawasumbua.