ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Ukifutilia kwa makini unaweza kubaini hili:
Vyombo vya habari vya Tanzania hasa FM redios zina mchango mdogo sana kuhusu maendeleo ya soka la hapa nyumbani. Mara nyingi ukisikiliza radio kama Clouds FM watangazaji wa vipindi vya michezo wanajifanya wamebobea sana katika soka la Ulaya na kwengineko duniani hata kuliko hapa nyumbani. . Muda wingi/mrefu wa matangazo ya michezo ya radio hiyo hutumika kuwataja wanasoka na club maarufu za nje utadhani watangazaji wa Radio hiyo wapo nje ya nchi kumbe ni taarifa tu wanazoweza kusoma kwenye mitandao ambazo hata wanatanzania wa kawaida hawahitaji kuzisikia zaidi ya zile za hapa nyumbani ambazo zinaumuhimu mkubwa katika kuhamasisha michezo.
Binafsi sielewi mantiki ya watangazaji kujifanya wanawafahamu zaidi wanasoka wa nje na kuwa naddi utadhani wana lolote la kusaidia katika tasni ya soka la Bongo...ukiwa makini fuatlia watangazaji kama "F" Kibonde na wenzake wanapotangaza masuaala ya michezo utababini kasumba walionayo ya kutaka waonekane wanafahamu kwa kina safu nzima za vilabu vikubwa duniani kuliko simab, Yanga, Majimaji nk...
.
Mbaya sana sana, hivi karibuni, Clouds FM wamebuni kautaratibu ka kuendeleza soka la Bara ulaya kwa kushindanisha wapenzi/washabiki wa klub za soka za nje badada ya hapa nyumbani..mantiki ya haya sijui ni nini!!!