Media house za Tanzania wanalipaje wauza maudhui (vipindi) ?

Media house za Tanzania wanalipaje wauza maudhui (vipindi) ?

mpambanaji orijino

New Member
Joined
Feb 6, 2023
Posts
4
Reaction score
3
Habari zenu wanajamii?

Poleni na majukumu ya kutafuta riziki.

Nakuja mbele yenu nkiwa na swali ambalo linnitatiza na nadhani ninaweza pata jibu hapa JF.

Vituo vya televisheni au makampuni ya ving'ämuzi yanatumia vigezo gani katika kukubali maudhui ambayo mimi kama muandaa maudhui nmeyaandaa?

maudhui yanaweza kuwa ya vipindi mbalimbali kama filamu, vipindi vya kijamii, talk show nk.

Na kwa wale wenye uzoefu nngependa kujua wanalipaje kwa maudhui hayo kama wakiridhia kuyachukua kwa ajili ya chaneli zao?

Kwa mafano wa series kama juakali, Mr.Right, au labda talk show ambayo iko dstv, startimes au azam au chaneli yoyote malipo yao yanakuwa kwa mfumo gani hasa kwa vipindi vyenye episodes nyingi?

N a pia mfumo wa kupokea maudhui kwa hizi media house ukoje ? wana ratiba maalum au ukiwapelekea ndo wanaangalia kama kinafaa au hapana.

Naombeni msaada wenu JF
 
Watu wa media ni viziwi, nishawahi watumia mpaka email, Sikupata jibu lolote kutoka kwao.



Msimu wa sponsorships kwenye MEDIA.

 
Back
Top Bottom