Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaKenya bado wanajitutumua kumfurahisha muzungu !
Kwenye hili Magufuli ameibuka kidedea
Watu wa kwanza kabisa kufanya kitu hiki walikuwa ni JPM na Mbowe. Baada ya Corona kushika kasi, Mbowe naye aliibuka na kutangaza kuanza kwa mikutano yake ya Siasa. Baada ya hapo akazua mjadala na mimi nikasema humu jukwaani kuwa niko upande wa Mbowe kwa sababu YAWEZEKANA Mungu amemtumia naye kutoa prediction ya ukomo wa Corona. Na kweli Corona haijaenda mbali, na ni kweli kwamba kati ya watu ambao Mungu aliamua kuwatumia kutoa prediction ya ukomo wa Corona, mmoja wao ni Mbowe! Kwa hili mimi binafsi, naye ninampa pongezi nyingi sana kwa mafunuo yake hayo ya kiroho. Unajua Mungu huwa anaweza akatumia mtu au kitu chochote na kwa swala hili la Corona, wanasiasa nao pia amewatumia kwa kiwango kikubwa sana, utafikiri nao ni watumishi wa Mungu kwenye nyumba za Ibada!Ukiachana na media za tanzania,hata media za nje ya nchi pia habari kuhusu corona zimepotezewa na sio dili tena?je corona imeisha?
Serikali ya #Brazil imesitisha kutoa takwimu za vifo vitokanavyo na #COVIDー19, hatua ambayo wakosoaji wamesema inalenga kuficha ukweli wa athari za ugonjwa huo. Aidha, taifa hilo limesema litatoa takwimu za visa vipya kwa siku, na si takwimu za jumla ya waathirika wote. https://t.co/Yw5epGgrc4Ukiachana na media za tanzania,hata media za nje ya nchi pia habari kuhusu corona zimepotezewa na sio dili tena?je corona imeisha?