aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Jamaa anafanya tour kwenye redio zisizo na nguvu kabisa tena vya mikoani kabla hata za Dar esa salaaam hajazimaliza mara abood fm rasi fm maisha fm tatizo ni nini hivo ivi redio havina impact kabisa kwenye industry mimi nilitegemea angeaza na clouds, efm rfa kissfm ea radio
Kwa style hii jamaa naona zile ndoto za kumfunika aslay zinafifia
Kwa style hii jamaa naona zile ndoto za kumfunika aslay zinafifia