kwani yeye mboso alikuambia anataka kumfunika AsalyJamaa anafanya tour kwenye redio ziszo na nguvu kabisa tena vya mikoani kabla hata z dsm hajazimaliza mara abood fm rasi fm maisha fm
Tatizo ni nini hivo vi redio havina impact kabisa kwenye industry mimi nilitegemea angeaza na clouds, efm rfa kissfm ea radio
Kwa style hii jamaa naona zile ndoto za kumfunika aslay zinafifia
Wewe mwenye ndoto ya kumfunika Aslay katambulishe wimbo wako KlaudsJamaa anafanya tour kwenye redio ziszo na nguvu kabisa tena vya mikoani kabla hata z dsm hajazimaliza mara abood fm rasi fm maisha fm
Tatizo ni nini hivo vi redio havina impact kabisa kwenye industry mimi nilitegemea angeaza na clouds, efm rfa kissfm ea radio
Kwa style hii jamaa naona zile ndoto za kumfunika aslay zinafifia
Nice sana blood ilaah ruge anazingua na huu ndo mwisho wakeeKaangalie instagram ya Salam K utaona povu lake kwa Ruge anadai Ruge anataka kumshusha Diamond. Kuna kaugomvi ka chini kwa chini kati ya wcb na clouds media. Ukiangalia tukio la Mose Iyobo kuwapiga shilawadu halafu akaalikwa kupongezwa kwa Makonda ni dalili kwamba Bashite ndo engineer wa hiyo kitu akishirikiana na wcb .
Pia wasafi wanataka kufungua radio na tv yao ( nasikia Bashite yupo nyuma ya hili) .Kumbuka ugomvi wa Bashite na Ruge bado haujaisha .Ruge anaokolewa tu na Magu, siku Magu akitoa go ahead kwa Bashite kumnyoosha Ruge ,jamaa atakimbilia Bukoba.
Vituo vingine kama Eatv au ippmedi yote wasafi wamevidharau huwa hawaendi kwenye interview wala kuzindua nyimbo zao ,ndo maana nao hawapigi nyimbo zao.
Efm sinauhakika ,zaidi ya Mazijo kushare Hamisa na Dimond kama wana beef jingine ,ila maramoja moja huwa wanacheza nyimbo za wasafi
Ruge na shigongo ndio watu waliomfanya Diamond awe alipo sasa kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki hilo utakuwa unalipata vema ruge ndiyo alikuwa anamiandalia Diamond vitu vya tofauti kama show ya Diamond forever, connection za kuimba BBA , kipindi kile tale alikuwa meneja kivuli mtumikakati alikuwa ni ruge. Upande wa ahigongo kumbuka alivyokuwa anaandaa show dar live huku akizipa promo mwezi mzima na kumpa jamaa offer mara kuingia uwanjan na helcopter mara lift ukumbiniNice sana blood ilaah ruge anazingua na huu ndo mwisho wakee
Ruge kwanini hizo show hakuwaandalia watu wake wakina Barnaba, Amin, Ditto? Jiulize kidogo basi....Ruge na shigongo ndio watu waliomfanya Diamond awe alipo sasa kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki hilo utakuwa unalipata vema ruge ndiyo alikuwa anamiandalia Diamond vitu vya tofauti kama show ya Diamond forever, connection za kuimba BBA , kipindi kile tale alikuwa meneja kivuli mtumikakati alikuwa ni ruge. Upande wa ahigongo kumbuka alivyokuwa anaandaa show dar live huku akizipa promo mwezi mzima na kumpa jamaa offer mara kuingia uwanjan na helcopter mara lift ukumbini
Sema nini dogo baada ya kurubuniwa na mako ndipo shida ilipoanza
Ruge na shigongo ndio watu waliomfanya Diamond awe alipo sasa kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki hilo utakuwa unalipata vema ruge ndiyo alikuwa anamiandalia Diamond vitu vya tofauti kama show ya Diamond forever, connection za kuimba BBA , kipindi kile tale alikuwa meneja kivuli mtumikakati alikuwa ni ruge. Upande wa ahigongo kumbuka alivyokuwa anaandaa show dar live huku akizipa promo mwezi mzima na kumpa jamaa offer mara kuingia uwanjan na helcopter mara lift ukumbini
Sema nini dogo baada ya kurubuniwa na mako ndipo shida ilipoanza
Mange amesema!Kaangalie instagram ya Salam K utaona povu lake kwa Ruge anadai Ruge anataka kumshusha Diamond. Kuna kaugomvi ka chini kwa chini kati ya wcb na clouds media. Ukiangalia tukio la Mose Iyobo kuwapiga shilawadu halafu akaalikwa kupongezwa kwa Makonda ni dalili kwamba Bashite ndo engineer wa hiyo kitu akishirikiana na wcb .
Pia wasafi wanataka kufungua radio na tv yao ( nasikia Bashite yupo nyuma ya hili) .Kumbuka ugomvi wa Bashite na Ruge bado haujaisha .Ruge anaokolewa tu na Magu, siku Magu akitoa go ahead kwa Bashite kumnyoosha Ruge ,jamaa atakimbilia Bukoba.
Vituo vingine kama Eatv au ippmedi yote wasafi wamevidharau huwa hawaendi kwenye interview wala kuzindua nyimbo zao ,ndo maana nao hawapigi nyimbo zao.
Efm sinauhakika ,zaidi ya Mazijo kushare Hamisa na Dimond kama wana beef jingine ,ila maramoja moja huwa wanacheza nyimbo za wasafi
Habari ndiyo hiyoKaangalie instagram ya Salam K utaona povu lake kwa Ruge anadai Ruge anataka kumshusha Diamond. Kuna kaugomvi ka chini kwa chini kati ya wcb na clouds media. Ukiangalia tukio la Mose Iyobo kuwapiga shilawadu halafu akaalikwa kupongezwa kwa Makonda ni dalili kwamba Bashite ndo engineer wa hiyo kitu akishirikiana na wcb .
Pia wasafi wanataka kufungua radio na tv yao ( nasikia Bashite yupo nyuma ya hili) .Kumbuka ugomvi wa Bashite na Ruge bado haujaisha .Ruge anaokolewa tu na Magu, siku Magu akitoa go ahead kwa Bashite kumnyoosha Ruge ,jamaa atakimbilia Bukoba.
Vituo vingine kama Eatv au ippmedi yote wasafi wamevidharau huwa hawaendi kwenye interview wala kuzindua nyimbo zao ,ndo maana nao hawapigi nyimbo zao.
Efm sinauhakika ,zaidi ya Mazijo kushare Hamisa na Dimond kama wana beef jingine ,ila maramoja moja huwa wanacheza nyimbo za wasafi
Unaongea nini we panyaClouds mwisho wao ni WCB Radio na Tv apo ndio clouds wanapotea jumla
Unaongea nini we panya