Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Hata kama amekanusha lakini haweze kupata ubunge kule tena. Hana mvuto kisiasa kabisa kule vunjo na popote Tanzania. Arudi tu CCM aendelee na pension yake tiss na chama.
Mwacheni Mrema achukue jimbo la Vunjo kwani ana uwezo wa utendaji kuliko hao wagombea wengine.
CHADEMA acheni uzushi kila sehemu. Mara karatasi za kura, mara kule Arusha yule mama sijui kaenda kujifungua USA. Hivi kwanini mnataka kuwadanganya Watanzania?
Mwacheni Mrema achukue jimbo la Vunjo kwani ana uwezo wa utendaji kuliko hao wagombea wengine.
The problem si Chadema wanazusha ila ni upumbavu wa wale mnaoukubali uzushi.CHADEMA acheni uzushi kila sehemu. Mara karatasi za kura, mara kule Arusha yule mama sijui kaenda kujifungua USA. Hivi kwanini mnataka kuwadanganya Watanzania?
Mwacheni Mrema achukue jimbo la Vunjo kwani ana uwezo wa utendaji kuliko hao wagombea wengine.