Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Clouds imeomba radhi kwa chapisho ambalo ilichapisha kuhusu rais ambapo kimsingi ni kweli.
Vyombo vya Tanzania vimejaa unafiki mtupu wala havina msada wakufichuacmaovu zaidi ya kujikomba na kulamba miguu ya mabwanyenye.
Watanzania ni muda sasa wakuvikataa vyombo vyetu vya habari ili kama vinaweza vihamie serikalini au vijiendeshe bila hadhira yetu,itoshe kusema kuwa hapa Tanzania hatuna media inayofanya kazi kwa uhuru zaidi ya kujaa mashoga wauza dawa na wajinga.