Nimekuwa nikifatilia kampeni za uchaguzi nchini Kenya kwenye vyombo vya habari vya Kenya Kwa muda mrefu sasa. Hawa jamaa wanaupiga mwingi.
Wachambuzi na waandishi wao wako deep in knowing what they say, wanafanya analysis za viwango vya juu, wanachambua issue Kwa kina, hawadokezi tu, they go into details, yaani it's owesome and excellent.
Kwa mfano Jana kwenye manifesto launch ya Kenya kwanza na roots party, show zote zilikuwa live on one TV , hakuna upendeleo Wala ubaguzi, kilichonishangaza Kwa mfano citizen TV walifatengeneza a very composed summary ambapo hata kama mtu hakuwa akifatilia tukio live anapata kuelewa Nini kimetokea na Nini kimeongelewa.
Hii kitu ni tofauti sana na Tanzania ambapo vyombo vya habari almost 90% wanaripot habari za ccm na serikali yake tu.Ni kupongeza tu hakuna critical idea Or thinking outside the box.
Technically vyombo vya habari vya Kenya sijui niseme wanatumia Nini kureport taarifa zao....yaani it's very exciting to watch. Kwa mfano when it comes to statistics hawa jamaa watatoa excell sheet with nambers not just blaa blaa words from mtangazaji.
Tuache wivu ni AZAM TV pekee na Mpira wao ndo wanaweza kutuwakilisha on international standards lakini hizi zingine zijifunze kutoka Kenya na sio dhambi.
Ndo maana hata matangazo ya biashara ni mengi mno Kwa media za Kenya tofauti na za hapa bongo Kwa mfano star tv....nani atakuletea tangazo la biashara yake Kwa viwango duni vya hahari mnazorusha prime time?
Kwa Leo naishia hapa.Tuache wivu tujifunze.