kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tangu dirisha la usajili lifunguliwe tunasikia simba,yanga na azam hatusikii vilabu vingine vinafanya nini wala vinajiandaje huko mikoani.
Wachambuzi wote simba na yanga mpaka habari zinachosha na marudio ya kila siku, tunataka kusikia Coastal, pamba, Tabora, Namungo na kadhalika wamesajili nini na mtuchambulie.
Tunajua mnaiga toka media za nje lakini hao sky sports, BBC bbc sport na nyinginezo hawajikiti arsenal na manchester united tu. Wao hutangaza timu zote mpaka daraja la mwisho na hufanya uchambuzi bila ushabiki wala upendeleo.
Tofauti na hizi media za kidwanzi na watangazaji wa kidwanzi.
Kifupi wabadilike mpira haupo simba na yanga tu.