Media Zimekuwa Zikidai Huyu Jamaa ni"Racist"!

Huyo ni racist wakuzaliwa. Alijifunza uracist tangu mtoto. Baba yake alikuwa katika kikundi cha ku klux klan (kkk). Kikundi hicho kina hostoria ya kubagua na kuua wamarekani weusi. Racist anaweza kujificha kimaslahi na kibiashara. Racist hakatahi pesa ya mtu mweusi hata kama anamchukia.
 
Na hiyo picha ni katika dili zake za pesa, pesa unaitafuta mahali popote pale, Kama promoter wa Tyson, Tyson alikuwa mtaji wake.
 
unaemzungumzia ni Joe bidden nadhani, maana zipo mpk picha zake amepiga na yule aliyekua kiongozi wa 3k kikundi cha ubaguzi.......
 
Kuna mmoja hawapendi Chadem asilani lakini ana jinasibu kuwa maendeleo hayana chama.
 
Words
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…