Wadau, tanzania kama nchi nyingine inakumbana na tatizo la medical malpractice, je wananchi wana uelewa kiasi gani? Tuna historia ya operation ya kichwa badala ya mguu, kwenye circumcision wengine wanakata mzigo wote wa mbele, kusahau mkasi tumboni, kutoa dawa au tiba kwa ugonjwa usiohusika, kuchelewa kutoa matibabu kiasi cha kusababisha kifo, je suala tajwa linachukuliwa kuwa ni mapenzi ya mungu au kuna haja ya kwenda mahakamani, je mahakama itachangia ufanisi na kuongeza tahadhali kwa wahudumu wa afya, kwa nini kesi hizo huzimwa?kwa maslahi ya nani?