nILIKUWA NAOMBA NAMBA YA MANaging director wa msd maana sisi wagonjwa wa kansa wa hospital ya ocean road cancer institute ( ORCI), Hamna dawa za kansa tangu DECEMBER 4, sasa wagonjwa wanakufa. pls tunaomba maana HIVI DAWA NYINGI za kansa huwaga havipatikani pharmacy yeyote ile Tanzania humu..