Medical terminology in swahili

Medical terminology in swahili

Binti Del

New Member
Joined
Apr 29, 2015
Posts
3
Reaction score
1
I am seeking help with medical terminology from english to swahili. examples:
1. Hemorhoid
2. Hiatal hernia
3.Colonoscopy
4. Colorectal Cancer
5. Colostomy
6.Barium enema
7.Sigmoidoscopy
8. Fleet's enema
9. Gastrointestinal (G.I.) tube
10.Hypothalamus.

Thank you.
 
I am seeking help with medical terminology from english to swahili. examples:
1. Hemorhoid (Ugonjwa wa Bawasiri)

2. Hiatal hernia (Ugonjwa wangiri)

3.Colonoscopy (Utumbo mpana)

4. Colorectal Cancer (Saratani ya Utumbo Mpana)

5. Colostomy

6.Barium enema

7.Sigmoidoscopy

8. Fleet's enema

9. Gastrointestinal (G.I.) tube ( Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula)

10.Hypothalamus.

Thank you.

1. Hemorhoid (Ugonjwa wa Bawasiri)

2. Hiatal hernia (Ugonjwa wangiri)

3.Colonoscopy (Utumbo mpana)

4. Colorectal Cancer (Saratani ya Utumbo Mpana)

9. Gastrointestinal (G.I.) tube ( Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula)
 
1. Hemorhoid (Ugonjwa wa Bawasiri)

2. Hiatal hernia (Ugonjwa wangiri)

3.Colonoscopy (Utumbo mpana)

4. Colorectal Cancer (Saratani ya Utumbo Mpana)

9. Gastrointestinal (G.I.) tube ( Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula)
. Namba 3 na 9 sio tafsiri sahihi,the rest are correct
 
1. Hemorhoid (Ugonjwa wa Bawasiri)

2. Hiatal hernia (Ugonjwa wangiri)

3.Colonoscopy (Utumbo mpana)

4. Colorectal Cancer (Saratani ya Utumbo Mpana)

9. Gastrointestinal (G.I.) tube ( Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula)

MziziMkavu, vizuri! Nimekuja kuona hata baraza la kiswahili wanatengeneza maneno bila kuwa na etymological origin of the words so coined. Nina maana kama hivi: Tele is far and phone is sound, therefore telephone is sound heard from very far, and it makes much sense. Je huku kwetu tuna kitu kama hicho. I stand to be corrected (mimi sio mtaalamu wa lugha, lakini nimekuwa nikiwekea mashaka maneno yanayoundwa bila kuwa na mfumo kama huo. Makabila yetu yana kitu kama hicho tuunde kutoka huko?
 
Nashukuru sana kwa kuniongoza katika kufafanua maneno haya. Nitazidi kuuliza maneno mengine mengi sababu kwa sasa najifunza kua mkalimani wa siku za kesho.
Asante.
 
Kiswahili hakiwezi kukidhi maneno ya kitabibu kwani kuna teknolojia za kisasa kabisa ambazo waswahili hawazijui
 
Mfano colonoscopy inaweza kutafsiriwa kama kiangaza utumbo na nikaeleweka!lakini utumbo una sehemu nyingi kama esophagus,stomach,ileum,colon na rectum.mswahili anaita utumbo tu.
 
Mfano colonoscopy inaweza kutafsiriwa kama kiangaza utumbo na nikaeleweka!lakini utumbo una sehemu nyingi kama esophagus,stomach,ileum,colon na rectum.mswahili anaita utumbo tu.
Kha! Siku hizi esophagus na stomach pia ni utumbo? Au mimi sijui maana ya utumbo?
 
mkuu acha usanii oesophogus...ni sehemu ya utumbo..!!?..au almentary canal.
 
ila hivi kwanini mnaandikaga vyeti kwa mcharrazo kwani mkiandika taratibu kwa muandiko unaoeleweka kwa mgonjwa kuna tatizo
 
Mfano colonoscopy inaweza kutafsiriwa kama kiangaza utumbo na nikaeleweka!lakini utumbo una sehemu nyingi kama esophagus,stomach,ileum,colon na rectum.mswahili anaita utumbo tu.
Esophagus in Swahili UMiO sio sehemu ya utumbo lakini ni sehemu ya mfumo wa mmen'genyo wa chakula(digestive system) ambao una sehemu zifuatazo mdomo,koo,Umio,tumbo,utumbo mwembamba,utumbo mpana na mk.....undu.
 
ila hivi kwanini mnaandikaga vyeti kwa mcharrazo kwani mkiandika taratibu kwa muandiko unaoeleweka kwa mgonjwa kuna tatizo
Pole sana masai dada,sio madaktari wote wanaandika kiivyo,labda wanafanya hivyo ili aweze waona Wagonjwa wengi,si unajua hizi hospitali zetu,ratio ya Wagonjwa wanaoonwa na daktari mmoja kwa Siku ni kubwa mno.
 
sipendi mimi huwa namuambia daktari anifafanulie
hapo hapo
 
Back
Top Bottom