I am seeking help with medical terminology from english to swahili. examples:
1. Hemorhoid (Ugonjwa wa Bawasiri)
2. Hiatal hernia (Ugonjwa wangiri)
3.Colonoscopy (Utumbo mpana)
4. Colorectal Cancer (Saratani ya Utumbo Mpana)
5. Colostomy
6.Barium enema
7.Sigmoidoscopy
8. Fleet's enema
9. Gastrointestinal (G.I.) tube ( Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula)
10.Hypothalamus.
Thank you.
. Namba 3 na 9 sio tafsiri sahihi,the rest are correct1. Hemorhoid (Ugonjwa wa Bawasiri)
2. Hiatal hernia (Ugonjwa wangiri)
3.Colonoscopy (Utumbo mpana)
4. Colorectal Cancer (Saratani ya Utumbo Mpana)
9. Gastrointestinal (G.I.) tube ( Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula)
1. Hemorhoid (Ugonjwa wa Bawasiri)
2. Hiatal hernia (Ugonjwa wangiri)
3.Colonoscopy (Utumbo mpana)
4. Colorectal Cancer (Saratani ya Utumbo Mpana)
9. Gastrointestinal (G.I.) tube ( Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula)
Kha! Siku hizi esophagus na stomach pia ni utumbo? Au mimi sijui maana ya utumbo?Mfano colonoscopy inaweza kutafsiriwa kama kiangaza utumbo na nikaeleweka!lakini utumbo una sehemu nyingi kama esophagus,stomach,ileum,colon na rectum.mswahili anaita utumbo tu.
Kha! Siku hizi esophagus na stomach pia ni utumbo? Au mimi sijui maana ya utumbo?
Mkuu Mr Kiroboto Usikosoe tu toa na wewe Tafsiri yako iliyo kuwa ni sahihi.. Namba 3 na 9 sio tafsiri sahihi,the rest are correct
Na wewe jibu basi usilete usanii wako meningitis Tupe majibu sahihi basi.Mzizi mkavu acha usanii
mkuu acha usanii oesophogus...ni sehemu ya utumbo..!!?..au almentary canal.
Colonoscopy ni kiangaza sehemu ya utumbo mpana itwayo colon.Gastrointestinal tube ni mrija uingizwao kwenye utumbo(utumbo mwembamba) kupitia tundu ya pua.Mkuu Mr Kiroboto Usikosoe tu toa na wewe Tafsiri yako iliyo kuwa ni sahihi.
Esophagus in Swahili UMiO sio sehemu ya utumbo lakini ni sehemu ya mfumo wa mmen'genyo wa chakula(digestive system) ambao una sehemu zifuatazo mdomo,koo,Umio,tumbo,utumbo mwembamba,utumbo mpana na mk.....undu.Mfano colonoscopy inaweza kutafsiriwa kama kiangaza utumbo na nikaeleweka!lakini utumbo una sehemu nyingi kama esophagus,stomach,ileum,colon na rectum.mswahili anaita utumbo tu.
Pole sana masai dada,sio madaktari wote wanaandika kiivyo,labda wanafanya hivyo ili aweze waona Wagonjwa wengi,si unajua hizi hospitali zetu,ratio ya Wagonjwa wanaoonwa na daktari mmoja kwa Siku ni kubwa mno.ila hivi kwanini mnaandikaga vyeti kwa mcharrazo kwani mkiandika taratibu kwa muandiko unaoeleweka kwa mgonjwa kuna tatizo
Pole sana masai dada,sio madaktari wote wanaandika kiivyo,labda wanafanya hivyo ili aweze waona Wagonjwa wengi,si unajua hizi hospitali zetu,ratio ya Wagonjwa wanaoonwa na daktari mmoja kwa Siku ni kubwa mno.