MEDITATION imenisaidia kuacha pombe

MEDITATION imenisaidia kuacha pombe

Ntakuzibua

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2018
Posts
714
Reaction score
1,253
Helloow!!Ladies and gentlemens i hope mko poa sio mwandishi mzuri ila nitaandika hivo hivo cha msingi muelewe Kama kichwa cha habari kinavojieleza

Nilianza unywaji wa pombe toka nikiwa kidato cha sita sasa hivi nina miaka 26. Nilikua nakunywa sana pombe tena mda wote kiasi kwamba hata nikiamka asubuh mwili unatetemeka mpaka ninywe kwanza ndo unaacha kutetemeka na pia usiku nisipokunywa nilikua naona mauza uza sipati usingizi naona kama watu yan ilikua ni usingizi wa mang'am ng'am.

Kadri siku zinavokwenda nikaona sasa pombe inanipeleka pabaya kwasababu hata kazini nikawa mtoro mara nyingine naenda nimelewa uzuri kazi nilikua nafanya vizuri sana na pia nilikua mchangamfu.

Sababu zilizofanya niache pombe ni kwamba nilikua nashindwa kuweka akiba pili nilikua dont care tatu mwili wangu nikaona unaanza kudhoofika kwasababu nilikua nakosa appetite ya kula sasa tuje kwenye point jinsi gani meditation imenisaidia kuacha pombe kwasababu kabla ya meditation nimezunguka sana hata kwa madaktari kunisaidia jinsi ya kuacha pombe waliishia kuniambia kwamba kuacha inawezekana ila unaweza umwa sana kutokana na mwil unakua unaanza kujirudisha kwa hali ya kawaida kizungu wanaita "WITHDRAW SYNDROME" hii ndo kitu ambayo inawafanya walevi wengi washindwe kuacha pombe kwasababu hupata hizo kero kama kutetemeka asubuh hasa mikono,kichwa kuuma,kukosa usingz Nk.

Sasa kuna jamaa angu mmoja yeye ni rasta anakula sana bange nilimuomba ushauri kuhusu kuacha pombe yeye hanywi pombe kabisa akanishauri kwamba kila siku usiku saa nane amka ufanye meditation kwa siku tatu nadhan wengi mnajua maana ya meditation so nikaamua kufanya hilo jambo kwa siku tatu kwa mkazo na u serious pia kumanifest At the end of the day nikafanikiwa kuacha pombe na maisha yangu yamebadilika physically and mentally Ni hivo tu ndugu zangu ila mjani nakula
Muwe na mchana mwema
 
Daah uandishi mbovu kishenzi, hauna koma, nukta wala aya.

Una ujumbe mzuri mods wakusaidie kuedit kazi yako mbovu hii.

Hongera kwa kuacha pombe, pombe sio ya kila mtu.
 
Bange nibangue niache pombe......... 😛
 
Hongera hata mjani wa Bob Marley a Cha mkuu!
 
Daah uandishi mbovu kishenzi, hauna koma, nukta wala aya.

Una ujumbe mzuri mods wakusaidie kuedit kazi yako mbovu hii.

Hongera kwa kuacha pombe, pombe sio ya kila mtu.
Nimeomba radhi toka mwanzo kwamb sio mwandishi mzuri mkuu
 
Umehamia kwenye adiction nyingine, tumepoteza mchangia kodi mmoja ila utarudi tuu muda bado.
 
Helloow!!Ladies and gentlemens i hope mko poa sio mwandishi mzuri ila nitaandika hivo hivo cha msingi muelewe Kama kichwa cha habari kinavojieleza

Nilianza unywaji wa pombe toka nikiwa kidato cha sita sasa hivi nina miaka 26. Nilikua nakunywa sana pombe tena mda wote kiasi kwamba hata nikiamka asubuh mwili unatetemeka mpaka ninywe kwanza ndo unaacha kutetemeka na pia usiku nisipokunywa nilikua naona mauza uza sipati usingizi naona kama watu yan ilikua ni usingizi wa mang'am ng'am.

Kadri siku zinavokwenda nikaona sasa pombe inanipeleka pabaya kwasababu hata kazini nikawa mtoro mara nyingine naenda nimelewa uzuri kazi nilikua nafanya vizuri sana na pia nilikua mchangamfu.

Sababu zilizofanya niache pombe ni kwamba nilikua nashindwa kuweka akiba pili nilikua dont care tatu mwili wangu nikaona unaanza kudhoofika kwasababu nilikua nakosa appetite ya kula sasa tuje kwenye point jinsi gani meditation imenisaidia kuacha pombe kwasababu kabla ya meditation nimezunguka sana hata kwa madaktari kunisaidia jinsi ya kuacha pombe waliishia kuniambia kwamba kuacha inawezekana ila unaweza umwa sana kutokana na mwil unakua unaanza kujirudisha kwa hali ya kawaida kizungu wanaita "WITHDRAW SYNDROME" hii ndo kitu ambayo inawafanya walevi wengi washindwe kuacha pombe kwasababu hupata hizo kero kama kutetemeka asubuh hasa mikono,kichwa kuuma,kukosa usingz Nk.

Sasa kuna jamaa angu mmoja yeye ni rasta anakula sana bange nilimuomba ushauri kuhusu kuacha pombe yeye hanywi pombe kabisa akanishauri kwamba kila siku usiku saa nane amka ufanye meditation kwa siku tatu nadhan wengi mnajua maana ya meditation so nikaamua kufanya hilo jambo kwa siku tatu kwa mkazo na u serious pia kumanifest At the end of the day nikafanikiwa kuacha pombe na maisha yangu yamebadilika physically and mentally Ni hivo tu ndugu zangu ila mjani nakula
Muwe na mchana mwema
Naomba unifumdishe
 
Back
Top Bottom