Meena Ally

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,123
Reaction score
2,449
Aslaam Aleikyum wadau wa jukwaa hili..I hope mko poa, Leo nataka nimzungumzie Toto tundu Mpemba mmoja hivi toka Zanzibar ambae ni Mtangazaji wa kipindi cha Amprifaya Clouds FM kila siku Jumatatu hadi Ijumaa saa1 usiku hadi saa3 akiwa na Mtu wako wa nguvu Damu damu milele,Mr.Countdown mzee wa City to City Nation to Nation Millard Ayo.



Lakini pia unamskia Kila jumamosi saa5 hadi 6 mchana katika kipindi cha Niambie akiwa na Noel aka Akili ndefu.Najua unamjua na nnajua kwamba unamjua lakini jee.unamjua zaidi?

Hapa namzungumzia Meena Ally aka Shobo ambae kwasasa ni Afisa mhamasishaji wa Tigo Figidi Fiestra 2019 Saizi yako 'Levels Baby' akiwa na Kicheko mtata na Babuu wa Kitaa. Point ya msingi hapa nimeona vitu vingi kwake,kama unamfuatilia utaungana namimi

1:Ni mcheshi,mchangamfu yaani akiwa On air kama hayuko serious ivi alafu sometimes anawazingua wasikilizaji yaani utani fulani ivi unaoleta ladha kwenye kipindi,

2:Ngoja tukumbushane kidogo,Unazikumbuka zile promos zilizokua zinasikika kutambulisha kipindi kijacho kwenye Niambie mada itahusu nini?yaani ni promos zilizojaa ubunifu wa ela yote Bablai!Yanafurahisha,though kama ya kitoto ivi utani utani but its a gud stuff coz kuna Lugha ya kifasihi imetumika ndani mwake,hatakama script alikua haandiki yeye but anavyoingiza sauti anavyo'act ni real talanta sio kitu rahisi kwamba raia oote anaeza fanya izo mafekechenizm!

3:Even now kama umefuatilia msimu wa Fiesta yeye kama Afisa mhamasishaji akiwa na kina Kicheko na Babuu wamekua wakitengeneza zile clips za Tigo Fiesta2019 ambazo zinafurahisha kinyama,Cheki ile ya Kihindi ya Mwanza pia cheki na za Muleba na Sumbawanga,au ile ya Chuga ya mwaka jana akiwa na Machalii wa Machapalala shazi'Chuga Dance/Dalala'.Huyu mpemba ni Nuksi... @NgarenaroBoy.

 
Acha nisiongee tu huwa napenda kukaa na mambo moyoni...! Ahsante.
 
Bila ya Chura hatuwezi kumpa makasi. Tupo Bzy na Menina kwa sasa mtoto mwenye Tako Lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…