Meena Ally

vipi kwani alirudi ofisini? maana aliapa kutorudi baada ya Ruge kufariki au majonzi yaliisha
 
naomba no yake nikampige mashine
 
Mimi napenda anavyoongea jamani, sichoki kumsikiliza.
 
Katoto kakuma sana msiomjua. Kana kimbelembele. Nakajua vema...kamekulia Sinza
Nikisikia mtu anasemwa ana kiherehere huwa napata picha nyingi nyingi, kwa mfano anakuwa anaonyesha tabia kama zipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…