Rolls Royce nae kaanza kutengeneza SUV au mimi nipo outdated?
Ukiliingiza bongo hilo utapigwa kodi ya mabilioni na tra watakuletea madai ya kodi ka alodaiwa acacia!$325,000...780,000,000 tsh ukijumlisha na charges zote tutakuwa tunazungumzia 1billion na ushee..ππ
Upo outdated haswa. Ulaya sasa wamepatwa na uchizi wa SUVs. Hata Lamborghini na Maserati wana SUVs siku hizi.Rolls Royce nae kaanza kutengeneza SUV au mimi nipo outdated?
Ukiwa na pesa, hizo services na maintenance wala huwazi. Sema, umaskini wetu chifu, lazima uwaze sana.Yan haya magari n mazuri kwa kuyaangalia 2 sijawah taman kutumia gari ya bei ghal hiv kwa hali ya barabara zetu!! N SUV ndio but kulipa service na maintanance n hatar!
Acha tupambane na Toyota RUSH zetu
Uko sahihi mkuu. Ndoto yangu Ni discover 3Yan haya magari n mazuri kwa kuyaangalia 2 sijawah taman kutumia gari ya bei ghal hiv kwa hali ya barabara zetu!! N SUV ndio but kulipa service na maintanance n hatar!
Acha tupambane na Toyota RUSH zetu
Twende na Landrover.........hutojutia pesa yako.Uko sahihi mkuu. Ndoto yangu Ni discover 3