Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
jama hawaJamaa hajatia tu mim
utarefuka si amekushindwaaa?Mara huniwezi kisirikali ,huniwezi kipesa,huniwezi kiuchawi tutarefuka kweli kwa mikwara hiyo?
Kagame ni mrefu ila sasa shida za kukaa ukimbizini, mawazo, zilimfanya awe mfupi like wise Watanzania weeeengi robo tatu yao ni warefu mnoo ila sasa shida zinawafnya wawe wafupi, mara huku idd amini, mara tukakomboea ndugu zetu msumbiji, mbu wao, lishe duni wao, vinyesi wao!! kusemwasemwa wao! mlo laka moja daily uta refuka kweli?
Sizani kama atamwachia huyo mkubwa huyo mdogo hata wanajeshi wana msikiliza sana kuliko huyo mkubwa.Hiuyo dogo mwenye black tisheti nasikia ndio kopi ya kagame kwa kila kitu sura Hadi tabia
Currently Yuko jeshini Kama PK hatomwachi huyo first born wake Basi huyo dogo ndie ataaechiwa nasikia dogo na ujasiri wa ajabu hatari
Ya Ni kagame mtupu hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeee! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mara huniwezi kisirikali ,huniwezi kipesa,huniwezi kiuchawi tutarefuka kweli kwa mikwara hiyo?
Demu kama hilo linapigwaje miti? Labda na akina lebron James
Mmemuona aliyemuoa? Jamaa amemzidi huyo manzi urefu 😀.Mrefu mpaka havutii