ERIK JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 623 Reaction score 315 Mar 20, 2019 #1 Hi friends, nimemiss sana kukutana na kupata marafiki wapya!! mtu yoyoyte mwenye hitaji kama langu au anayependa kukutana na kufahamiana na mtu mpya katika maisha yake naomba ni PM tufahamiane please! naishi dar, nafanya kazi na biashara.........33yrs!! Mengne tutaambiana
Hi friends, nimemiss sana kukutana na kupata marafiki wapya!! mtu yoyoyte mwenye hitaji kama langu au anayependa kukutana na kufahamiana na mtu mpya katika maisha yake naomba ni PM tufahamiane please! naishi dar, nafanya kazi na biashara.........33yrs!! Mengne tutaambiana
K kamarah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 950 Reaction score 1,931 Mar 20, 2019 #2 Intelligensia at work, hongera mkuu utawapata tu Sent using Jamii Forums mobile app
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Mar 20, 2019 #3 Yaani bar zote kweli mkuu umekosa kukutana na watu wapya?..mwendokasi zote izo
Mwakapumbu Member Joined Mar 19, 2019 Posts 79 Reaction score 51 Mar 20, 2019 #4 Hivi watu wapya ndio watu gani hao?
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 48,444 Reaction score 194,235 Mar 20, 2019 #5 I need new haters, the old ones are starting to like me π π
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Mar 20, 2019 #6 Felister said: I need new haters, the old ones are starting to like me [emoji23] [emoji23] Click to expand... Ndio maana hujibu pm zangu?
Felister said: I need new haters, the old ones are starting to like me [emoji23] [emoji23] Click to expand... Ndio maana hujibu pm zangu?
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 48,444 Reaction score 194,235 Mar 20, 2019 #7 Nokia83 said: Ndio maana hujibu pm zangu? Click to expand... Pm yangu imecollapse π
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Mar 20, 2019 #8 Felister said: Pm yangu imecollapse [emoji23] Click to expand... Hehehehe roho mbaya tu
ERIK JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 623 Reaction score 315 Mar 20, 2019 Thread starter #9 Tajiri Kichwa said: Yaani bar zote kweli mkuu umekosa kukutana na watu wapya?..mwendokasi zote izo Click to expand... sipandi mwendo kasi wala siingiagi bar mkuu
Tajiri Kichwa said: Yaani bar zote kweli mkuu umekosa kukutana na watu wapya?..mwendokasi zote izo Click to expand... sipandi mwendo kasi wala siingiagi bar mkuu
Tairus JF-Expert Member Joined Mar 13, 2013 Posts 676 Reaction score 1,056 Mar 20, 2019 #10 What a lovely day...write your reply. you may not start conversation with the following recipient;Tairus
What a lovely day...write your reply. you may not start conversation with the following recipient;Tairus