Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, bedroom engineers. Hawa wanataka msukumo kidogo tuu watakuja kuleta thamani kubwa huko mbeleni.
Hichi ni kipaji cha kuzaliwa wala sio cha darasani.The boy is machine
True maana iko ndani yake tayari!Sasa watu kama hawa ndyo wanatakiwa kusoma mechanical engeneering
System ya elimu Ina maajabu yake unaweza kuta angefeli advance/chuo.Huyu ni genius. Hapa mlipoteza talanta jamani. Afrika tunapenda kupoteza talanta sana. Sasa huyu dogo hata hajasoma vizuri na anafanya vitu kama hivi, sasa kama angesoma hadi degree ya engineering basi dunia ingemtambua
John clark MaxwellChangamoto la wagunduzi wengi wa kitaa wenye kipaji ukimwambia aende shule siku mbili anakimbia maana huko anaenda kukaribishwa na hawa wajomba
![]()
Mambo ya vector calculus.Changamoto la wagunduzi wengi wa kitaa wenye kipaji ukimwambia aende shule siku mbili anakimbia maana huko anaenda kukaribishwa na hawa wajomba
![]()