Aisee, bedroom engineers. Hawa wanataka msukumo kidogo tuu watakuja kuleta thamani kubwa huko mbeleni.
Hichi ni kipaji cha kuzaliwa wala sio cha darasani.The boy is machine
True maana iko ndani yake tayari!Sasa watu kama hawa ndyo wanatakiwa kusoma mechanical engeneering
Huyu ni genius. Hapa mlipoteza talanta jamani. Afrika tunapenda kupoteza talanta sana. Sasa huyu dogo hata hajasoma vizuri na anafanya vitu kama hivi, sasa kama angesoma hadi degree ya engineering basi dunia ingemtambua
System ya elimu Ina maajabu yake unaweza kuta angefeli advance/chuo.Huyu ni genius. Hapa mlipoteza talanta jamani. Afrika tunapenda kupoteza talanta sana. Sasa huyu dogo hata hajasoma vizuri na anafanya vitu kama hivi, sasa kama angesoma hadi degree ya engineering basi dunia ingemtambua
John clark MaxwellChangamoto la wagunduzi wengi wa kitaa wenye kipaji ukimwambia aende shule siku mbili anakimbia maana huko anaenda kukaribishwa na hawa wajomba
Mambo ya vector calculus.Changamoto la wagunduzi wengi wa kitaa wenye kipaji ukimwambia aende shule siku mbili anakimbia maana huko anaenda kukaribishwa na hawa wajomba