Meet the world's richest rappers

Kweli America is the land of opportunities and success. Where else on earth could this be possible? Only in the US of A.
 
Nadhani ni utajiri kwa ajili ya kazi za music tuu..hapo hawajaweka pesa chafu na vyanzo mbadala vya mapato kama matangazo ya biashara, movies etc...nadhani 50 angelikuwa juu ya jigga na baby angefunika mbaya
 
Kweli America is the land of opportunities and success. Where else on earth could this be possible? Only in the US of A.

NN umesahau pia Tanzania is also a land of opportunity kina Jay-Z sijui Pdidy ni chamtoto tu kuna pedeshee ana $2 Billion katika account yake zimekaa tu bado majumba anayomiliki, biashara na mshahara wake ofisini. Therefore sio US tu bali hata Tanzania unaweza kuzaliwa maskini ukajitahidi na kuwashinda hata walioko US (kwa njia yeyote ile including ufisadi ndio bongo hiyo).
 
 
whts wrong with Curtis, from 3rd to 18...this is not a drop it's a fall....Big up to Dwayne, Nicky, Kaseem, BoB, khalifa, Akon and Kanye...

Mfanya biashara huyo
usishangae mwakani
akapanda chart tena...
 
Big up dwane... Wanatabiri miaka ijayo atakuwa msanii mwenye pesa sana.. .hata miaka 24 hajazidi sasa. Duh! But T.I ana zaidi ya mill 6 mbona hayupo?
 
vipi hapa bongo nani anaongoza kwa mikwanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…