Jk inaonyesha hayko seious na nchi hii. So Watz inabidi tuamue moja kama tunaendelea na huyu jamaa au la. Huyu jamaa atatufikisha kule kwa Mwinyi wafanyakazi wanapata mshahara baada ya miezi 3 mpaka 6. Sijaona sourse ya income aliyo create hata moja mpaka sasa hivi. Je watanzania hawaongezeki? jibu tunaongezeka. miradi mingi sasa imesimama, ujenzi wa barabara, shule wanajenga wazazi, haspital nk hata zile ajira alizotuahidi ziko wapi? sasa watz tunaenda kubaya kabisa.