Mega Thread: East Africa's iconic Architecture

Hapo kwenye red nimepapenda zaidi hata ya architecture wenyewe. Kwani kabla ya hii ni nani alikuwa anaruhusiwa kuingia hizo higher education na ni nini kilitokea ...'kuongeza ukubwa wa magoli'!?
 
Hapo kwenye red nimepapenda zaidi hata ya architecture wenyewe. Kwani kabla ya hii ni nani alikuwa anaruhusiwa kuingia hizo higher education na ni nini kilitokea ...'kuongeza ukubwa wa magoli'!?

Hahaha mkuu sina maana hiyo, unaniwekea maneno kinywani, this isn't a right thread for your arguments!!
 
Mwache amekarili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…