Mega Thread: East Africa's iconic Architecture

Haha haha..... nacheka mwenyewe tu!!!
Unafiki ni kitu kibaya sana na hujionyesha waaazi hahaha....
Hapa kuna watu fulani walikua wana-google pica na reports za kibera waje wapost ila kwa vile wameona na vyakwao vimesifiwa wamezitunza kwenye folder for later use!!!
Duh...
 


Jengo la zamani la NSSF,Kenyata road,Mwanza Tanzania...
 

Gold Crest Motel,Mwanza Tanzania....
 
Kila mkoa sasa hivi ina majengo mapya
Tatizo Watanzania hawapendi kupiga picha majengo na kuyaweka mitandaoni.

Juzi nilikuwa Kahama
Kiukweli kuna majengo mapya mazuri
Lakini huwezi yaona myandaoni
hilo ndyo tatizo sijui kwanini hatuna mbwembwe government za wenzetu wanatafuta kabisa photographer nakupiga majiji yao picha kwa camera za viwango vya juu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…