Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Hayo mashindano hayana faida yoyote. Ni uhuni mtupu.
Miss bongo ayupo top 5?,haa ni hujuma,Teh Teh Teh Teh Teh,Lundenga anafawaidi kweli hawa watoto.
dah kweli nazeeka. ata nilikua cjui kwamba kuna miss world.
mbn miss tz tumempata juzi tu, ndio huyo huyo ameenda kiwakilisha tz?
Hivi haya mashindano yanatambulika na UN?
Miss bongo ayupo top
5?,haa ni hujuma,Teh Teh Teh Teh Teh,Lundenga anafawaidi kweli hawa
watoto.
Look at her nails.....hadi raha
simple, clean and attractive...yani km mimi nimeshindwa rangi za kucha, lipstick, wig, weaves kucha ndo kbs nakata kila wiki, foundation, powder, kope etc na ndio huo usichana ushanipita anyways hongera kwa wale wanaopaka na wanavutia mimi ntaendelea kua mtizamaji.
hapana miss tz wa mwaka jana ndo amewakilisha mwaka huu, na miss tz wa mwaka huu ndo atawakilisha miss world mwakani
Acha uwongo, usiseme kama kitu hujui, na ulivyoandika unashawishi kweli kudanganya watu,
happines watimanywa ndio amekwenda kuwakilisha hiyo miss world